14-12-2022

Mchungaji Dkt. Jonathan K. Kivatsi akisindikizwa na Katibu mkuu wa shirika Me Welca K. Vutsumbwa, alipokelewa katika ofisi ya Mheshimiwa Profesa Néhémie Mwilanya

Pia Jumatano hii hiyo huko Kinshasa, Mchungaji Dkt. Jonathan K. Kivatsi akisindikizwa na Katibu mkuu wa shirika Me Welca K. Vutsumbwa, alipokelewa katika ofisi ya Mheshimiwa Profesa Néhémie Mwilanya, alikua Msimamizi wa ofisi ya Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila. Mazungumzo yao yalizua maswali ya amani Mashariki mwa DRC na mengineyo.

Katika maandalizi ya sherehe za kushimika rasmi viongozi wapya wa CBCA, aliko pia ilitolewa kwake Mheshimiwa Profesa Néhémie Mwilanya.

Communication CBCA

1 commentaire(s)

ndabosam084@gmail.com

Asante

Laissez un commentaire