15-06-2025
Mchungaji Samuel Kahungu amewekwa rasmi kusimamia Kijiji kipya CBCA BARAKA katika Poste Goma, Section Ngangi.
Kijiji hiki kilianzishwa tangu mwezi wa tatu chini chini ya uongozi wa Mchungaji Jephté Kiviri alipokua akisimamia CBCA Turunga 2.
Bwana wa kazi atangulie kazi yake katika Kijiji CBCA Baraka.
0 commentaire(s)
Aucun commentaire pour l'instant...