18-11-2023

HABARI YA KIFO

Mchungaji Nzanzu Mathe Roger wa 3e CBCA Beni-Cité amefariki jana 17 novemba 2023 saa za jioni pale Kyatsaba kwa ajali ya pikipiki.

Mchungaji Roger, Ni mmoja ya watumishi sujaa walio kaa nakufikilia juu ya mpango wa uundaji wa Idara ya Vijana na Watoto katika Shirika letu la CBCA.

Pole Sana kwa CBCA kwa jumla na Poste Beni kwa upeke kwa kifo cha Mchungaji. Kwa juma mojatu CBCA imepoteza Watumishi vijana wawili sujaa Ev Mugaruka pa Goma na Rev Roger pa Beni.

Mungu awe faraja kwetu. Tuombeane ili Mungu aendelee kua msaada kwa jamaa na Kanisa nzima...

Tukumbuke neno hili katika 2Kor 4,8-9: “tunasongwa pande Zote lakini hatukate tumaini”

0 commentaire(s)

Aucun commentaire pour l'instant...

Laissez un commentaire