21-07-2025

Kanisa la CBCA Kasese-centre/Uganda ndani ya Kongamano kubwa la Injili

Kanisa la CBCA Kasese-centre/Uganda ndani ya Kongamano kubwa la Injili

Mpango huu umeendeshwa juu ya somo « Mimi na nyumba yangu Tutamutumikiya Bwana » toka kitabu ya Yosua 24,15-26.

Ndani ya kongamano hii watu 4 wamebatizwa, wote wakiwa vijana. Pamoja na washiriki zaidi ya 700 ikiwemo kwaya toka Poste Beni, Bwatsinge na Katwa ambako, kwa upekee, wajumbe walitoka kwa kufatiliya kazi za parrainage, ni Mchungaji MAHINDULE Deogracias na Muinjilisti Zacharie Mathe wa Kanisa la Francophonie Matanda.

0 commentaire(s)

Aucun commentaire pour l'instant...

Laissez un commentaire